Poems

Nawaza!

Nawaza!

mawazo ya wachache
hofu ya wengi
kijiweni wanapayuka
ujasiri umeyeyuka
matumaini yamesinzia
ndoto zimetoweka
matamanio yametoroka